tarehe Iliyowekwa: June 16th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 umeanza rasmi kukimbizwa ndani ya Wilaya ya Ludewa kwa kupitia miradi 7 yenye thamani ya shilingi bilioni 8.7 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Mwenge huo umepoke...
tarehe Iliyowekwa: June 15th, 2024
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa kimkoa tarehe 16 Juni 2024 katika Wilaya ya Ludewa Kata ya Mavanga na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka na kumkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victo...