• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

WILAYA YA LUDEWA YAANZA UGAWAJI WA VYANDARUA KWAAJILI YA KUJIKINGA NA MBU WAENEZAO UGONJWA WA MALARIA KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUANZIA DARASA LA KWANZA HADI LA DARASA LA SITA

tarehe Iliyowekwa: November 10th, 2023

Na. Chrispin Kalinga - Ludewa

Wizara ya afya kupitia mpango wa taifa wa kudhibiti Malaria (NMCP) kwa kushirikiana na OR-TAMISEMI inatekeleza afua mbalimbali za kudhibiti ugojwa wa malaria ikiwa na lengo la kutokomeza  ugonjwa wa Malaria ifikapo mwaka 2030 kwa kuhakikisha wananchi wote wanatumia vyandarua vilivyowekewa dawa ya muda mrefu ya kuuwa mbu.

Miongoni mwa afua zinazo tumika katika kupambana na kudhiti ugonjwa wa malaria ni pamoja na Ugawaji wa vyandarua kwa akinamama wajawazito hudhurio la kwanza la kliniki,

Watoto wa umri wa miezi tisa wanao stahili kupata chanjo ya Surua Rubella

Wazee kuanzia miaka 60 nakuendelea waliotibiwa OPD,

Wateja wa CTC wanaohudhuria vituoni

Watoto umri chini ya miaka mitano, waliolazwa na Kutibiwa Malaria kali,

akina mama wajawazito wanapewa kinga tiba kuanzia wiki la 14 anapohudhuria kiliniki pamoja

Kufanya usafi wa mazingira ili mbu asipate mazalia.

Halmashauri ya wilaya ya Ludewa yenye Kata 26 na vijiji 77 inaendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria.

Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kwa kushirikiana  na Wizara ya afya kupitia Bohari ya dawa(MSD)

imekuwa ikigawa vyandarua kwa makundi mbalimbali ikiwemo wanafunzi wa shule ya msingi , ambapo Novemba 08, 2023 zoezi la ugawaji vyandarua lilizunduliwa Wilayani Ludewa Kwa kuanza  kugawa kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi darasa la sita Zaidi ya wanafunzi 26,333 katika shule 117 ikiwa shule 113 ni za serikali na 4 ni binafsi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.