tarehe Iliyowekwa: March 23rd, 2022
Mwenge wa Uhuru unaashiria nuru na mwanga.Uliwashwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro mwaka 1961.
Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2022 unatarajiwa kuwashwa rasmi Apri...
tarehe Iliyowekwa: March 22nd, 2022
Zoezi la anwani za Makazi na Postikodi Wilaya ya Ludewa linaendelea na Hivi karibuni tunatarajia kuwaita vijana wote walio omba Ajira kwa Maafisa watendaji wa Kata ili waje wapatiwe semina ya namna ya...
tarehe Iliyowekwa: March 22nd, 2022
Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa POLIO nchini Malawi, Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ludewa itaanza zoezi la kampeni ya utoaji wa chanjo ya matone ya kuzuia ugonjwa wa ...