tarehe Iliyowekwa: September 28th, 2023
Na Chrispin Kalinga
Maonesho ya Utalii Karibu Kusini yanalengo la kutangaza vivutio vya Utalii na maeneo ya uwekezaji nyanda za Juu Kusini.
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ina maeneo...
tarehe Iliyowekwa: September 28th, 2023
Mkoa wa Njombe wenye Halmashauri 6 umeshika nafasi ya kwanza na kutunukiwa cheti Cha Banda Bora katika mikoa 10 iliyoshiriki maonesho ya Utalii Karibu Kusini kwa mwaka 2023 yaliyofanyika katika viwanj...
tarehe Iliyowekwa: September 27th, 2023
Afisa Utalii wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Bw. Andrew Njavike na Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Bw. Chrispin Kalinga Leo tarehe 27 Septemba 2023 wametembelea Makumbusho ya Mtwa M...