tarehe Iliyowekwa: September 25th, 2020
Serikali kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) imetoa mafunzo elekezi ya utekelezaji wa Sheria na Kanuni za Mamlaka ya Serikali Mtandao Nchini. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika Jijini Dodoma ...
tarehe Iliyowekwa: April 27th, 2020
Wananchi wa wilaya ya Ludewa waaswa kuhakiki taarifa zao katika Daftari la kudumu la wapiga kura kwa njia rahisi ya simu, ili kujiandaa vema na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020....