Serikali kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) imetoa mafunzo elekezi ya utekelezaji wa Sheria na Kanuni za Mamlaka ya Serikali Mtandao Nchini. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika Jijini Dodoma katika ukumbi wa mihadhara wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano (CIVE) uliopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Katika habari picha, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu Serikalini, ACP Ibrahim Mahumi akifungua mafunzo kwa Wakuu wa Idara na Vitengo vya TEHAMA Serikalini yaliyohusu kujenga uelewa katika utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao na Kanuni zake.
Ili kufahamu zaidi juu ya mafunzo hayo, bofya hapo chini na kupata taarifa kwa kina.
Habari zaidi kuhusu mafunzo ya Sheria na Kanuni za Mamlaka ya Serikali Mtandao eGA
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.