Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri hii kuomba nafasi ya kazi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira kwa kipindi cha Miaka Mitano (5) kama ifuatavyo:-
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuendesha/kuongoza vikao vya usaili wa waombaji wa nafasi za kazi.
ii.Kuendesha/kuongoza vikao vya kuthibitisha kazini watumishi
iii.Kuendesha/kuongoza vikao vya kupandisha/kuwabadilisha watumishi vyeo.
Kwa ufafanuzi na maelekezo ya kina fungua na kusoma hapa TANGAZO LA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA.pdf
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.