Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Waziri Waziri Kindamba anawatakia wananchi wote wa Mkoa wa Njombe pamoja na watanzania wote kwa Ujumla wake Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Licha ya Pongezi hizo anawahakikishia wananchi wote kuwa Wilaya zote za Mkoa wa Njombe hali ya kiusalama ni Shwari na Salama na anasisitiza kwa kuwatakieni sherehe Njema yenye Furaha, Amani na Upendo
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.