Maelfu ya wakazi Wilayani Ludewa wamejitokeza kwa wingi katika siku maalumu ya usafi kila mwisho wa mwezi kama ilivyo ada kufuatia Tangazo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Katika muktadha huo, ikiwa ni Sheria ya usafi kila mwisho wa mwezi kwa wote wasio wagonjwa kujitokeza kufanya usafi katika maeneo ya umma kama vile Hospitali na maeneo ya wazi. Wengi wa wakaiz wameonekana kuridhishwa na utaratibu huo, kwani wamekiri kwamba unasaidia sana kuondoa adha ya uwezekano wa magonjwa kama vile Kipindupindu.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.