Zoezi la anwani za Makazi na Postikodi Wilaya ya Ludewa linaendelea na Hivi karibuni tunatarajia kuwaita vijana wote walio omba Ajira kwa Maafisa watendaji wa Kata ili waje wapatiwe semina ya namna ya Kuchukua taarifa na Kuzitunza taarifa.
Hivyo endelea kupitia kurasa zetu za mitandao ya Kijamii ili kujua yanayo jiri kila siku.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.