Kesho tarehe 05/08/2022 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI anatarajia kutembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Wakati huo atakagua mazao mbalimbali yanayopatikana Wilaya ya Ludewa lakini pia atapitia vitalu vyote vilivulivyo kwenye maeneo hayo ya maenesho ya nanenane kwenye banda la Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Kwanafasi hii niwakaribishe wananchi wote kuja kushuhudia na kujifunza mambo mbalimbali yanayopatikana kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa yakiwemo Madini ya Liganga na Mchuchuma
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.