Waziri wa Afya Mhe Mhe. Ummy Mwalimu
leo ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa
Njombe iliyopo Wikichi na kukagua hali ya utoaji
huduma pamoja na miradi ya ujenzi wa miundombinu
inayoendelea kujengwa Hospitalini hapo ikiwa ni
maandilizi ya kumpokea Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
ambaye kesho Tarehe 9 Agosti 2022 atakagua,
kutembelea Hospitali hiyo na kupokea taarifa ya
mradi wa ujenzi wa Hospitali hiyo wenye thamani
yake shilingi bilioni 27.939
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.