• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA AHIMIZA UHIFADHI ENDELEVU.

tarehe Iliyowekwa: December 30th, 2022

Wananchi wametakiwa kuyaheshimu maeneo yaliyohifadhiwa kisheria hapa nchini na kuacha tabia ya kuvamia maeneo hayo ili kuunga mkono juhudi za Serikali za kuyahifadhi na kuyalinda  kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.


Kauli hiyo imetolewa mkoani Lindi na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwenye ziara ya Kamati ya Mawaziri nane wa kisekta inayo shughulikia migogoro ya ardhi nchini na kutoa wito kwa Serikali za Vijiji na Kata ziendelee kutoa elimu Kwa wananchi juu ya umuhimu wa maeneo yaliyo hifadhiwa.


 Mhe. Balozi Dkt. Chana amesisitiza kuwa maeneo yaliyohifadhiwa yana umuhimu mkubwa katika uhai na uendelevu wa maisha ya binadamu hivyo yasipolindwa na kutunzwa ipasavyo madhara ni makubwa kwa kizazi kilichopo na kitakuwa hakijakitendea haki kizazi kijacho.



Waziri Balozi Dkt. Pindi Chana ameendea  kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa upendo mkubwa kwa wananchi kwa kuridhia wapewe sehemu za baadhi ya maeneo ya hifadhi ili wayatumie kwa shughuli za kijamii huku akiwataka wasivamie maeneo mengine yaliyohifadhiwa


"Maeneo haya yanategemewa na Watanzania wote katika kutupatia mvua, hewa safi, ajira,  maji ya Kilimo, umeme kwa matumizi ya nyumbani. Natoa rai kwa wananchi wote muhakikishe mnayalinda maeneo haya, msiyavamie na kuingiza mifugo wala Kuchoma moto" Amesisitiza Waziri Balozi Dkt. Chana


Amewapongeza Wakuu wa Mikoa kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha Uhifadhi huku akiwaomba waendelee kusimamia maeneo hayo kwa maslahi mapana ya Taifa

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.