RuahaNationalParkTanzania
Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Njombe wakiwemo Wakurugenzi Watendaji wametembelea hifadhi ya Taifa ya Luaha leo Nov. 11,2022 kwa lengo la Kuhamasisha Watanzania kutembelea vivutio vya Utalii Nyanda za juu Kusini na nchi kwa ujumla.
Zoezi hilo linaendelea ikiwa Jana Novemba 10, 2022 viongozi na wadau wengine walitembelea Utalii wa Mitaami pamoja na kutembelea mabanda ya maonesho katika viwanja vya maonesho Iringa.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.