Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Ndg. Sunday Deogratias leo Julai 14, 2023 amefungua mafunzo ya Ukaguzi wa bidhaa za Afya yanayoendelea kutolewa kwa Wakuu wa Divisioni na Wakuu wa Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa yanayofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Ludewa.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.