Biashara ya vileo inatekelezwa kwa kufuata Sheria namba 77 ya mwaka 2002
UTARATIBU WA UPATIKANAJI WA LESENI ZA VILEO:
Maombi yote mapya ya leseni za vileo ni lazima yapitishwe na Kamati ya Vileo ambapo wajumbe wa kamati hiyo wameainishwa kwenye fomu ya maombi, (Afisa Afya, Afisa Ardhi, Afisa Biashara, Polisi na Maendeleo ya Kata husika.
Maombi yote yanayorudiwa (Renewal) yapitishwe na Mwenyekiti wa Kamati ya maendeleo Kata na yawasilishwe kwa Afisa Biashara anayeshughulikia leseni za vileo kwa utekelezaji.
Leseni za villeo hutolewa vipindi viwili (2) ambayo kipindi cha kwanza huanzia tarehe 01/04 hadi 31/09 na kipindi cha pili huanzia tarehe 01/09 hadi 31/03.
ADA:
Maombi mapya na yanayorudishwa hulipiwa ada kama ifuatavyo: -
Aidha wanaoendesha biashara ya vileo bila kufuata taratibu zilizotajwa hapo juu huchukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kupelekwa Mahakamani, kulipishwa faini pamoja na adhabu "penalty" au kufungiwa biashara zao.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.