• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

SHIRIKA LA RIKOLTO LAWAFIKIA VIJANA LUDEWA

tarehe Iliyowekwa: February 20th, 2023

Afisa Mtendaji wa Kata ya Ludewa Ndg. Alanus Bunda leo Februari 20,2023 ameongoza kikao cha wadau wa Kilimo kilicholenga kutoa elimu kwa vijana  na kujishughulisha katika Kilimo cha mbogamboga na matunda.


Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi mdogo wa kata hiyo huku washiriki wa kikao hicho wakiwa ni vijana  waliojitokeza kupata mafunzo ya namna wanavyoweza kujikwamua kiuchumi kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali zilizopo kwenye mnyororo wa thamani wa mboga na matunda na lishe.


Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho muwakilishi wa maradi mkuu wa Agri-Connect unaofadhiliwa na Jumuiya ya Nchi za Ulaya kutokea shirika la RIKOLTO Bw. Emmanuel Seni, ambaye pia anawakilisha vituo vitatu atamizi vya ubunifu na kilimo biashara (Agriedo Hub, Kiota Hub na Agrihub) vinavyotekeleza mradi huu wa vijana ujulikanao kama Generation Food Accelerator (GFA)  amesema kuwa, Vijana ni nguvu kazi ya Taifa na kwakutambua umuhimu na uhitaji ajira kwa  vijana wao Kama shirika wameona wanakila sababu ya kushusha elimu kwa Vijana ya kupambana na wimbi la ukosefu wa ajira na badala yake kupitia Kilimo cha mbogamboga na matunda Vijana wengi watajiajiri na kupata fedha za kutimiza mahitaji yao.


Sambamba na hayo aliongeza kwa kusema kuwa mradi huo unaenda kunufaisha vijana 300 wa mikoa mitano ya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania (Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Katavi) ambapo vijana 75 wa Mkoa wa Njombe watanufaika na mradi huo kwa kupatiwa elimu ya ujuzi wa kilimo biashara, ujasiriamali na usimamizi wa fedha kupitia kambi ya mafunzo kwa muda wa wiki moja. Washindi wa mradi huo watapatiwa mitaji ya kuendeleza biashara zao bunifu zinazolenga kutatua changamoto zilizopo kwenye mnyororo wa thamani wa mboga na matunda, ikiwa pamoja na kufungua fursa za ajira na kuajiri vijana wengine.


Kwa upande wake Afisa Kilimo wa Wilaya ya Ludewa ambaye pia ni msimamizi wa mazao ya bustani na Lishe Wilaya ya Ludewa  Bi. Fausta Baha  amesema Vijana wa Ludewa wanapaswa kuchangamkia fursa hiyo kwani ukiondoa kujiingizia kipato mradi huo utanufaisha wananchi wa Wilaya ya Ludewa kupitia ubunifu wao

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.