Mei 21, 2022 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mhe. Wise Mgina ametuma salamu za pole kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ambaye amefiwa na Mama yake Mzazi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa inatoa pole kwa Familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.