• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

MTAA KWA MTAA ZIARA ZA VIONGOZI LUDEWA KUFUATILIA ZOEZI LA SENSA

tarehe Iliyowekwa: August 24th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Andrea Tsere akiwa ndiye Mwenyekiti wa kamati ya Sensa amehesabiwa pamoja na viongozi wengine wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ambaye ni mjumbe wa Sensa Wilaya ya Ludewa wamehesabiwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias alishiriki zoezi la sensa ya watu na makazi kwa kuhesabiwa akiwa katika makazi yake hapo Wilayani Ludewa huku akijumuisha na familia anayoishi nayo mjini Ludewa.

Zoezi la kuhesabiwa lilimeongozwa na Mkuu wa Wilaya huku makarani wa Sensa wakiwa wametawanyika Wilaya yote y awaliya ya Ludewa tayari kwa kuwahesabu Watanzania woye wanaoishi Wilayani humo.

Wakati zoezi la kuhesabiwa likiendelea Wilaya yote ya Ludewa leo Agosti 24 timu nzima ikiongozwa na Mwenyekiti wa Sensa imeendelea na ziara ya kuwafikia wanchi kila kata kwalengo la Kuhamasisha wananchi kuhakikisha wanahesabiwa.

Akiwa katika Tarafa ya Mwambao Mhe. Andrea Tsere amekutana na wanachi walio hesabiwa na kuwapa pongezi kwa kufanikiwa Kuhesabiwa na alipokuwa katika Kijiji cha Ilinindi Wilayani humo aliwasihi wananchi ambao bado hawajafikiwa na karani wa sensa kuwa wavumilivu na kuandaa taarifa zote zinazotakiwa ili kurahisisha zoezi Pindi karani atakapo fika.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Bwn. Sunday Deogratias  ametoa rai kwa wananchi wote wa Wilaya ya Ludewa  kuendelea kuwapokea na kuwapa ushirikiano wa kutosha makarani  wa sensa ili waweze kuifanya kazi hii kwa uaminifu na uadilifu mkubwa katika zoezi hili la sensa ya watu na makazi 2022

 *Ludewa ipo imara*

#LudewaYetu #SensaYetu

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.