• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

MKUU WA WILAYA YA LUDEWA MHE. VICTORIA MWANZIVA AWASILI JIJINI MBEYA

tarehe Iliyowekwa: July 31st, 2023

Na Chrispin Kalinga

Maonyesho ya sherehe za wakulima Nane Nane 2023 yanatarajiwa  kuzinduliwa kesho tarehe 01.08.2023 katika viwanja  vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe  hizo anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango.


Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Ndg. Sunday Deogratias tayari wamewasili leo Julai 31, 2023 kwaaajili ya kushiriki zoezi la ufunguzi wa maonyesho hayo.


Maonyesho hayo kwa mwaka 2023 yameambatana na kauli mbiu isemayo "Vijana na Wanawake ni msingi imara wa mfumo endelevu wa chakula”.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA December 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA December 31, 2025
  • TANGAZO LA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WOTE UTAKAO FANYIKA TAREHE 6 JUNI 2024 May 29, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI MADUKA YALIOYOPO UWANJA WA MPIRA, STENDI NA SOKONI KUPITIA TAUSI PORTAL May 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA LUDEWA AWAASA WATUMISHI WAPYA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KUJIJENGA KIUCHUMI

    September 02, 2025
  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Watumishi Portal - ESS
  • NeST

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.

  • HUSKYSLOT
  • ROBOSLOT
  • TAHUPLAY
  • AWPSLOT
  • DANATOTO
  • Situs Toto
  • situs toto