Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga ametoa shukrani za dhati kwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuipa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa fedha nyingi zakutekeleza miradi mbalimbali.
A: MIRADI YA UVIKO 19
1. Mradi wa Madope.
- Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh. 508,673,191.09/=
- Wananchi wanapata huduma ya maji.
2.Ludewa Mjini
Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh.450,000,000.00/=
- Wananchi wanapata huduma ya Maji.
B: MIRADI MENGINE
1. Miradi ya maji Ilela, Ibumi, Madindo, na Lifua.
- Miradi hii imegharimu kiasi cha Tsh.460,000,000.00/=
- Wananchi wanapata huduma ya maji.
C: MIRADI INAYOENDELEA KUTEKELEZWA.
*1.* Mawengi ( Mawengi - Madunda - Lupande )
- Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh. 2,001,819,750.00/=
- Kazi inaendelea.
2 Mavala
- Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh. 1,070,692,019.00/=
- Kazi inaendela.
3. Lifua - Manda ( Kingole na Lihagule )
- Mradi huu umegharimu kiasi chasi cha Tsh. 100,000,000,00./=
- Kazi inaendelea.
D. MRADI UNAOTARAJIWA KUANZA.
1. Mradi wa maji kijiji cha Mavanga.
- Mradi huu utagharimu kiasi cha Tsh. 1,577,087,792.22./=
- Mradi huu upo hatua ya kusaini Mkataba.
Jumla kuu ya Miradi yote inagharimu kiasi cha Tsh. 6,168,272,752.30/=
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.