• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

MHE. VICTORIA MWANZIVA ASISITIZA UTUNZAJI MAZINGIRA

tarehe Iliyowekwa: February 7th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva Februari 04, 2023 alimpokea Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Balozi Dkt. Pindi Chana na kumuongoza kwenye miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Wilayani Ludewa.

Mhe. Waziri alifanya ziara ya siku moja Wilayani Ludewa na kuzindua zoezi la upandaji miti zaidi ya miti 300 ilipandwa katika shule ya sekondari Ludewa na kuhamasisha upandaji miti kwa lengo la kutunzaji mazingira.

Wakati akipokea taarifa kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Gilbert Ngailo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya alisema, zoezi la upandaji miti litakuwa endelevu kwani eneo hilo limepandwa miti mingi, kwa wiki la uzinduzi jumla ya miti 600 imepandwa na zaidi ya mizingi ya nyuki 100 imewekwa katika msitu wa eneo hilo kwa lengo la kuanzisha biashara ya asali pindi itakapo anza kuvunwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva aliongeza kwa kusema kuwa, Wilaya ya Ludewa inakwenda kwenye mabadiliko ya kimkakati na kumuahidi Waziri wa Maliasili kuwa Wilaya ya Ludewa itaendelea kutoa elimu kwa vijana na watu wote ya umuhimu wa utunzaji mazingira na kuyafanya mazingira hayo kuwaingizia kipato kwa kuandaa mizingi ya nyuki, kupanda miti ya mbao nk.
Katika hatua nyingine Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alikabidhi gari moja lenye thamani ya milioni 170 kwa Wakala wa Huduma za Misitu TFS Wilaya ya Ludewa kwa lengo la kusaidia ufuatikiaji, na utaoaji elimu kwa wananchi wa vijijini juu ya umuhimu wa utunzaji mazingara na kutochoma Moto ovyo.

Mwisho alimaliza kwa kusema kuwa wizara yake itaendelea kuwa jirani na Halmashauri zote nchini kwa kutoa miti ya kutunza vyanzo vya maji, miti ya kibiashara nk.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.