Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa ametuma salamu kwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga na amewasihi wananchi wa Wilaya ya Ludewa kumpa ushirikiano Mbunge huyo kwakuwa anafanya kazi kubwa ya kuwatumikia, ameyasema hayo leo alipotembea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Jijini Mbeya.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.