Moja ya changamoto iliyokuwa inasumbua maeneo mengi ndani ya wilaya ya Ludewa ni upatikanaji wa mawasiliano kwa njia ya mitandao ya simu, Mheshimiwa Mbunge aliliona hilo na kuamua kulivalia daruga suala hili, ili kuweza kupunguza adha hiyo kwani ilikuwa na athari kubwa Sana katika jamii zetu kipindi hiki Cha maendeleo ya sayansi na teknolojia.
ORODHA YA KATA ZILIZOPATA HUDUMA YA MAWASILIANO HADI APRIL 2022 WILAYANI LUDEWA
Kata ya IBUMI
Kijiji Ibumi na Masimavalafu.
MRADI
Phase 3
OPERETA
TTCL
HALI YA MNARA
Umewaka.
ORODHA YA MINARA INAYO ENDELEA KUJENGWA WILAYANI LUDEWA
1. Kata ya LUPANGA
KIjiji Cha Lupanga na Utilili.
MRADI
BSZ PH6
OPERETA
MIC
MNARA
Haujawashwa.
2. Kata ya LUPINGU
Kijiji cha Lupingu
MRADI
BSZ PH6
OPERETA
MIC
MNARA
Haujawashwa.
ORODHA YA MAENEO YATAKAYO KWENDA KUTEKELEZWA MWAKA WA FEDHA 2022/23
1. KATA YA IWELA
Kijiji Cha IWELA
2. Kata ya LUDENDE.
Kijiji, Ludende
3. Kata ya LUGARAWA
Kijiji, Mdilidili na Shaurimoyo.
4. Kata ya MANDA.
Kijiji Cha Igalu
7. Kata ya MAWENGI.
Kijiji, Lupande na Kitewele.
8. Kata ya MILO
Kijiji, Mapogoro.
ORODHA YA KATA ZA KUIONGEZEA UWEZO MINARA KUTOKA 2G KWENDA 3G/4G
1. Kata ya IBUMI
Kijiji Cha Ibumi.
- Mtandao wa TTCL chini ya UCSAF
2. Kata ya KILONDO
Kijiji Cha Kilondo
- Mtandao Halotel chini ya UCSAF
3. Kata ya LUPINGU
Kijiji Cha Ntumbati
- Mtandao Halotel chini ya UCSAF
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.