Asante Dkt.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hakika Wilaya ya Ludewa tumenufaika.
*Milioni 200 yakamilisha vyumba 10 vya madarasa katika Halmashauri ya wilaya ya Ludewa*
baada ya serikali ya awamu ya sita kutoa milioni 200 za ujenzi wa vyumba 10 vya Madarasa yamekamilika kwa asilimia miamoja yakiambatana na madawati yake.
*KAZI IENDELEE..*
Ikumbukwe Ujenzi wa vyumba hivi 10 vya madarasa katika shule za Sekondari Makonde ni miongoni mwa ujenzi wa vyumba 10 vya madarasa katika shule 10 za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ni miongoni mwa Halmashauri 184 nchini zilizonufaika na ujenzi huu wa vyumba vya madarasa.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.