Leo Mei 21, 2022 Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Waziri Kindamba amefika msibani na kumpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ambaye amefiwa na Mama yake Mzazi, Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho tarehe 22 Mei, 2022 katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa.
Aidha Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa inatoa pole kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana,pole kwa familia yote kwa ujumla wake na ndugu, jamaa na marafiki.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.