Mradi mkubwa wa maji unao tekelezwa katika Wilaya ya Ludewa kata ya Ludewa mjii unaendelea na utekelezaji na hadi Sasa upo kwa hatua za utekelezaji kwa asilimia 81.
Kukamilika kwa mradi huo utaondoa Kero ya maji Iliyopo kata ya Ludewa mjini ambapo mbaka Sasa mgao wa maji unaendelea
Zaidi ya shilingi milioni 325 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi huo ambapo hadi Sasa upo hatua za mwisho.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.