Watumishi wa umma wilayani Ludewa mkoani Njombe wametakiwa kuoa huduma bora kwa wananchi pamoja na kuzingatia maadili ili kuweza kuleta maendeleo katika wilaya hiyo na nchi kwa ujumla.
Akizungumza hayo katika ziara ya kuwatembelea watumishi katika kata za masasi Afisa utumishi wa wilaya hiyo Gladness Mwano ili kusikiliza kero za watumishi hao ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma kote nchini.
Katika ziara hiyo Mwano amepokea vhangamoto mbalimbali za watumishi hao na kuahidi kuzifanyia kazi.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.