• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

KOMBE LA USHINDI WA MAONYESHO YA KWANZA YA NANENAE 2023 KIMATAIFA LILILOFANYIKA NCHINI TANZANIA LAWASILI WILAYANI LUDEWA.

tarehe Iliyowekwa: August 9th, 2023

Na. Chrispin Kalinga

Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa imekuwa Halmashauri ya kwanza nchini Tanzania kwenye maonyesho ya kwanza ya nanenane Kimataifa yaliyofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale Jijini Mbeya.

Hayo yote yamezungumzwa na waratibu wa maonyesho ya nanenane Kitaifa wakati wa utoaji wa zawadi mbalimbali zilizotolewa, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa imekabidhiwa Kombe kwaajili ya Halmashauri, kipima udongo (digital soil scanner) Kitanakilishi 1 (Computer), printer 1, lamination machine 1, Tablet moja na Shilingi Milioni sita kwa msindi mmoja wa Ufugaji wa Samaki.

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amepokea zawadi hizo akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ludewa leo katika banda la maonyesho la Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.

"Natumia nafasi hii hadhimu Kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa rafiki yangu Bw. Sunday Deogratias kwa kufanikisha ushindi huu ambao kama Mkoa wa Njombe tumepata heshima, lakini pia nimpongeze Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva kwa namna anavyoendelea kushirikiana na uongozi mzima, niwapongeze Waheshimiwa Madiwani wote kwa ushirikiano wao, na leo haya ni matokeo mazuri kwa Wilaya ya Ludewa, niwapongeze sana Wataalumu wote na Wajasiliamari mlioiwakilisha vyema Wilaya ya Ludewa na Mkoa wa Njombe kwa Ujumla Hongereni Sana". Alisema Mhe. Juma Sweda

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.