• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

KILELE CHA SIKU YA UHURU LUDEWA 2022

tarehe Iliyowekwa: November 29th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ni miongoni mwa Halmashauri za Mkoa wa Njombe, Nyanda za Juu, Kusini mwa Tanzania, zitakazo shiriki kikamilifu kilele cha maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania kuanzia tarehe 01/12/2022 hadi siku ya kilele tarehe 09/12/2022


Katika maadhimisho hayo, Wilaya ya Ludewa tumeandaa mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na  

1: kujadili maendeleo ambayo Wilaya ya Ludewa  imefikia katika kipindi cha miaka 61 ya Uhuru.

2: Kushirikiana na wadau wa maendeleo  kujadili changamoto mbalimbali zinazokwamisha shughuli za maendeleo katika Wilaya ya Ludewa

3: Kutangaza vivutio na fursa za uwekezaji zilizopo katika Wilaya ya Ludewa.


Siku ya kilele cha maadhimisho hiyo tarehe 09/12/2022  tutakuwa na maandamano, Midahalo, maonyesho nk,


Karibu katika Ofisi za Halmashauri uweze kushuhudia mafanikio makubwa yaliyofanywa kwa kipindi hiki cha miaka 61 ya Uhuru.

Matangazo

  • TANGAZO LA USAILI MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 AGOST, 23 July 17, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAREHE 11-11-2021 October 27, 2021
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI

    January 27, 2023
  • HONGERA KWA KUAMINIWA NA KUTEULIWA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    January 25, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA LUDEWA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA LISHE

    January 23, 2023
  • WAKALA WA MBOLEA AKAMATWA MJINI NJOMBE

    January 19, 2023
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.