Mtendaji wa Kata ya Makonde Wilayani Ludewa atuma salamu za shukrani kwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga, na ameomba kuongezewa nguvu mtandao wa @halotel_tanzania uliopo katani hapo unaokata Mawasiliano mapema jioni.
Kauli hiyo aliitoa alipokuwa kwenye ziara ya kuipitia Miradi yote inayotekelezwa kwenye kata yake ambapo Afisa Habari na Mawasiliano Serikalini alikuwa na ziara ya kututembelea miradi yote inayotekelezwa ndani ya Tarafa ya Mwambao.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.