• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

Kaimu Katibu Tawala Ludewa awaka

tarehe Iliyowekwa: June 24th, 2022

Kaimu katibu tawala wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Linus Malamba ameagiza kukamatwa kwa mzabuni aliyefahamika kwa jina la Michael Lameck kutokana na kutopeleka vifaa vya ujenzi kwa wakati na kupelekea kuzorota kwa mradi wa  ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu sita ya vyoo unaoendelea katika shule ya msingi Lusala iliyopo katika kata ya Lupanga wilayani humo.

Malamba ametoa agizo hilo mara baada ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na TASAF ikiwemo mradi huo wa Lusala kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo Andrea Tsere ambapo alipofika Lusala alikuta maendeleo si mazuri huku ikielezwa kuwa mzabuni ndiye kikwazo.

 Kwa mujibu wa viongozi wa kata na kijiji cha Lusala akiwemo diwani Dominicus Mganwa wamesema kuwa mzabuni huyo amekuwa hapatikani kwa urahisi na amekuwa na miradi mingi anayoihudumia kitu ambacho kinapelekea  miradi mingine kutopata huduma kwa wakati.

Kilian Mtitu ni mtendaji kata ya Lupanga amesema kwa sasa ilitakiwa wawe wameshapiga bati lakini kutokana na mzabuni huyo bado wapo katika hatua ya kupaua huku mtendaji wa kijiji Robert Mgeni akiiomba serikali ngazi ya wilaya kuingilia kati na kumsihi mzabuni huyo kuja kumalizia ujenzi huo kwa haraka.

Kutokana na maelezo hayo ya viongozi kaimu katibu tawala huyo anaamua kumpigia simu mzabuni huyo ambapo hakuweza kupatikana kitendo ambacho kinamkasirisha na kupelekea kutoa maagizo ya kukamatwa kwake pamoja na fundi mkuu ambaye naye amekuwa haonekani mara kwa mara ili waweze kukamilisha ujenzi huo.

"Haiwezekani mtu mmoja awe kikwazo katika kuleta maendeleo, serikali imetimiza wajibu wake na wananchi nao wametimiza wajibu wao hivyo kutoleta vifaa kwa wakati ni kukwamisha juhudi za serikali". Amese

Kaimu katibu tawala wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Linus Malamba ameagiza kukamatwa kwa mzabuni aliyefahamika kwa jina la Michael Lameck kutokana na kutopeleka vifaa vya ujenzi kwa wakati na kupelekea kuzorota kwa mradi wa  ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu sita ya vyoo unaoendelea katika shule ya msingi Lusala iliyopo katika kata ya Lupanga wilayani humo.

Malamba ametoa agizo hilo mara baada ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na TASAF ikiwemo mradi huo wa Lusala kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo Andrea Tsere ambapo alipofika Lusala alikuta maendeleo si mazuri huku ikielezwa kuwa mzabuni ndiye kikwazo.

 Kwa mujibu wa viongozi wa kata na kijiji cha Lusala akiwemo diwani Dominicus Mganwa wamesema kuwa mzabuni huyo amekuwa hapatikani kwa urahisi na amekuwa na miradi mingi anayoihudumia kitu ambacho kinapelekea  miradi mingine kutopata huduma kwa wakati.

Kilian Mtitu ni mtendaji kata ya Lupanga amesema kwa sasa ilitakiwa wawe wameshapiga bati lakini kutokana na mzabuni huyo bado wapo katika hatua ya kupaua huku mtendaji wa kijiji Robert Mgeni akiiomba serikali ngazi ya wilaya kuingilia kati na kumsihi mzabuni huyo kuja kumalizia ujenzi huo kwa haraka.

Kutokana na maelezo hayo ya viongozi kaimu katibu tawala huyo anaamua kumpigia simu mzabuni huyo ambapo hakuweza kupatikana kitendo ambacho kinamkasirisha na kupelekea kutoa maagizo ya kukamatwa kwake pamoja na fundi mkuu ambaye naye amekuwa haonekani mara kwa mara ili waweze kukamilisha ujenzi huo.

"Haiwezekani mtu mmoja awe kikwazo katika kuleta maendeleo, serikali imetimiza wajibu wake na wananchi nao wametimiza wajibu wao hivyo kutoleta vifaa kwa wakati ni kukwamisha juhudi za serikali". Amesema Malamba.

Mradi huo unajengwa kwa fedha za TASAF ambapo unagharimu kiasi cha sh. Ml. 53 na unatakiwa kukamilika ifikapo juni 30 mwaka huu. huu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.