Je wajua kua ni Wajibu Kisheria Kujibu Maswali ya Sensa?
Jibu nikwamba kujibu Maswali ya Sensa ni matakwa ya kisheria kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu sura namba 351.
Kumbuka kwamba Ushirikiano wako na karani wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa kutoa taarifa sahihi ndio utakaorahisisha na kufanikisha Sensa ambapo matokeo yake yatachochea kasi ya maendeleo ya Watu na Makazi yao katika maeneo yote ya utawala nchini
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.