Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiwakilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ludewa Ndg. Gilbert Sandagila leo tarehe 30/7/2024 ameogoza utoaji wa maoni ya kujadili mpango wa dira ya Taifa ya mwaka 2025-2050 katika Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.