• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

GESI NA MAFUTA ZITAZALISHWA LUDEWA

tarehe Iliyowekwa: August 25th, 2022

Kampuni ya uchumbiji madini ya makaa ya mawe maximum Energy and Minerals Limited (MAXCOAL)  iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe imeadhimia kuanzisha uzalishaji gas na mafuta kwa kutumia makaa ya mawe pindi watakapokamilisha taratibu za kiserikali.

Akizungumza hayo mwenyekiti wa makampuni ya Maxcoal hapa nchini Liginiko Chale amesema malengo yao ni kuzalisha mafuta ya disel mapipa 12,000 kwa siku, petrol mapipa 8,000 pamoja na gas itakayotumika kuzalisha umeme kwa ajili ya  matumizi ya kiwanda chao pamoja na mradi kwa ujumla.

Chale amesema katika kuzalisha umeme wanatarajia kuzalisha MW 250 huku mahitaji yao ni MW 200 hivyo MW 50 zitakazobaki wanategemea kuziingiza katika mfumo wa serikali japo endapo serikali itaridhia wangehitaji wananchi wa vijiji vinavyozunguka mradi wapatiwe umeme huo pasipo malipo yoyote.

“Ni matamanio yetu kuona vijiji vilivyo jirani na mradi wetu vinanufaika na umeme utakaozalishwa hapa kwa kupatiwa bure kabisa, japo kupatiwa huko umeme kunategemeana na maamuzi ya serikali”.

Sanjari na hilo mwenyekiti huyo amesema kampuni hiyo inamiliki eneo la Sqkm. 54 ambazo tayari zimeshafanyiwa utafiti na kuthibitishwa na wataalamu waliothibitishwa na bodi ya Majiolojia ya Australia na Canada ambapo kwa tafiti zao waligundua eneo hilo lina makaa ya mawe tani Ml. 519.

Ameongeza kuwa kwa sasa bado mitambo inaendelea na kufanya tafiti ili kuweza kugundua endapo kuna hazina ya madini zaidi ya makaa ya mawe.

Hata hivyo amesema mradi huo ulianzishwa mwezi Julai 2021 ambapo tokea kipindi hicho walikuwa wanatengeneza miundombinu ya barabara ikiwemo madaraja hivyo kwa sasa wanatarajia kuanza kusafirisha makaa hayo katika makampuni mbalimbli.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.