• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA AMETEMBELEA MAONESHO YA SIDO KITAIFA MKOANI NJOMBE.

tarehe Iliyowekwa: October 25th, 2023


Na. Chrispin Kalinga - Ludewa

Balozi wa Japan  nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka ofisini kwake leo Oktoba 26, 2023 na kujadili masuala mbalimbali  ya kimaendeleo.

Moja ya sekta zilizoguswa kwenye mazungumzo ya viongozi hao wawili ni pamoja na kilimo, uwekezaji na utunzaji wa mazingira na uboresheji wa miundombinu ya zahanati za Mkoa wa Njombe.

Katika mazungumzo yao balozi huyo amesema serikali ya Japan imekuwa ikiendelea kuisaidia Tanzania katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo Ujenzi wa zahanati katika Kijiji cha Itambo Wilayani Wanging'ombe,Ujenzi wa hostel na vyoo kwenye shule mbalimbali na wataendelea kusaidia katika nyanja nyingine.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.Antony Mtaka pamoja na katibu tawala Mkoa Bi.Judica Omary wameshukuru Kwa jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya Japan katika kutekeleza miradi hiyo huku wakiomba kuendelea kwa mashirikiano katika  fursa zilizopo mkoani Njombe.

Aidha, Balozi wa Japan  nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa amepata nafasi ya kutembelea mabanda mbalimbali ya wajasiliamari katika maonesho ya SIDO Kitaifa yanayoendelea mkoani Njombe.

Pia viongozi wa Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu Tawala  Bi. Judica Omari, Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Kissa Gwakisa, Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda pamoja na Katibu Tawala Wilaya ya Njombe Bi. Agatha Mhahiki wameshiki mapokezi ya kiongozi huyo.

@anthony_mtaka @kissagwakisakasongwa @ms_mhaiki @ikulu_mawasiliano @maelezonews

@chrispin_b__kalinga

@sido_tanzania

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.