Viongozi wa Mradi wa Mwanamke Imara chini ya Ufadhili wa USID unaotekeleza mradi kwa kushirikiana na mashirika fadhiliwa WiLDAF TAWLA,TANLAP na KWIECO wamemkabithi mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ambaye pia ndiye Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Ludewa Bw.Thomas Kiyowi baiskeli 25 za wasaidizi wa Kisheria na wahamasihaji wangazi ya jamii
Zoezi hili limefanyika leo Juni 08, 2022 katika Kata ya Mkiu katika Kijiji cha Masimbwe
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.