• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

MAWASILIANO YA VIONGOZI WAKUU, MAAFISA ELIMU, MGANGA MKUU, KATIBU WA AFYA NA MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA

02 July 2021

TANGAZO LINATOLEWA KWA WATUMISHI WA AJIRA MPYA WALIOAJIRIWA NA KUPANGIWA VITUO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndugu Sunday N. Deogratias ANAWAKARIBISHA SANA watumishi wote wa Ajira Mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa. Aidha anawajulisha kwamba wawapo Safarini wasisite kufanya mawasiliano kwa Viongozi kwa maana ya Mkurugenzi Mtendaji, Afisa Utumishi wa Wilaya, Maafisa Elimu wa Wilaya, Mganga Mkuu na Katibu wa Afya, Maafisa Utumishi walioainishwa katika Tangazo hili kwa ajili ya usaidizi endapo watakutana na Changamoto yoyote. ANGALIZO: EPUKA MATAPELI KWA KUZINGATIA  MAWASILIANO YA VIONGOZI NA MAJINA YAO KAMA YALIVYOORODHESHWA HAPA CHINI, NA USIKUBALI KUFANYA MALIPO YA NAMNA YOYOTE KUPATA USAIDIZI UNAOUHITAJI. Mawasiliano na Viongozi ni kama ifuatavyo;

                                      1. Ndg. Sunday N. Deogratias - Mkurugenzi Mtendaji (W): 0753 534 711

                                      2. Ndg. Gladness M. Mwano - Afisa Utumishi (W) : 0764 934 043

                                      3. Ndg. Michael Hadu - Afisa Elimu Sekondari (W): 0688 257 680

                                      4. Ndg. Daniel M. John - Afisa Elimu Msingi (W): 0656 490 095

                                      5. Dr. Stanley Amos Mlay - Mganga Mkuu (W): 0764 381 459

                                      6. Ndg. Mathayo Tematema - Katibu TSC (W): 0752 428 667

                                      7. Ndg. Pius F. Mhagama - Afisa Utumishi: 0753 331 051

                                      8. Ndg. Peter J. Kyamene - Afisa Utumishi: 0768 655 514

                                      9. Ndg. Isdori J. Ngimba - Afisa Taaluma Sekondari (W): 0762 120 945

                                    10. Ndg. Jimson Mgowole - Afisa Takwimu na Vifaa Msingi (W): 0768 448 583

                                    11. Ndg. Emmanuel Mushi - Katibu wa Afya: 0752 539 315

 KARIBUNI SANA KATIMA UTUMISHI WA UMMA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA

Imetolewa na Utawala

NB: MAWASILIANO SOMA ZAIDI HAPA MAWASILIANO VIONGOZI LUDEWA DC.pdf



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 10, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • MKUU WA WILAYA LUDEWA AUNGANA NA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA MAZINGIRA

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI LUDEWA NA KUTEMBELEA MIRADI MITANO(5)

    May 07, 2025
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH. SELEMANI JAFO AAHIDI KUANZISHWA KWA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA HIVI KARIBUNI

    February 19, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. DKT. SELEMANI JAFO MKOANI NJOMBE, WILAYANI LUDEWA.

    February 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.