Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kwa kushirikiana na mradi wa Boresha Afya anatangaza nafasi ya kazi moja (1) ya DATA CLERK (UKARANI WA TAKWIMU) katika zahanati ya Lupanga. Kwa maelezo zaidi pakua na kusoma tangazo hili.
SOMA HAPA TANGAZO LA KAZI.pdf
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.