• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

MFUKO WA AFYA YA JAMII ILIYOBORESHWA (iCHF) MKOMBOZI KWA MWANANCHI: JIUNGE SASA

tarehe Iliyowekwa: December 2nd, 2019


iCHF NI MKOMBOZI WA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA AFYA KWA JAMII ZA WAKAZI WA WILAYA YA LUDEWA.

Katika harakati za kuhamasiha wananchi wa Wilaya ya Ludewa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii iCHF iliyoboreshwa,  Uongozi wa Wilaya ya Ludewa umewataka wananchi wa Wilaya ya Ludewa kujiunga kwa wingi ili pale wanapopatwa na changamoto ya Kiafya na kujikuta hawana fedha, Kadi ya CHF iliyoboreshwa itawawezesha kupatiwa tiba bila ya kutoa gharama ya aina yoyote ile. Kadi hiyo ya Bima ya Afya ya CHF iliyoboreshwa inakatwa kwa bei ya shillingi 30,000/= kwa kila kaya au kikundi, ambapo watatibiwa watu sita kwenye kaya moja kwa muda wa mwaka mzima. Ambapo matibabu watapatiwa kuanzia ngazi ya Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Wilaya, hadi hospitali ya rufaa ya Mkoa.


Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA December 19, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SERIKALI December 15, 2020
  • Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2019:OR-TAMISEMI yatoa tangazo la mchakato mzima wa Uchaguzi August 31, 2019
  • MWENGE WA UHURU KUWASILI WILAYANI LUDEWA TAREHE 20-09-2019 September 18, 2019
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • Wakuu wa Idara/Vitengo vya TEHAMA Serikalini Wajengewa Uwezo Juu ya Sheria ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

    September 25, 2020
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA

    September 22, 2020
  • HABARI PICHA JUU YA NAMNA YA KUHAKIKI TAARIFA ZA MPIGA KURA KWA NJIA YA SIMU.

    April 27, 2020
  • HABARI PICHA KATIKA JUHUDI ZA KUKABILIANA NA COVID-19

    March 26, 2020
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2019Ludewadc . All rights reserved.