Mkuu wa wilaya ya Ludewa Mhe. Andrea Tsere leo Januari 23, 2022 ameongoza kikao cha kamati ya lishe kwa robo ya pili ya mwaka 2022/2023 kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa Halmshashauri ya wilaya ya Ludewa.
Aidha amesema, Wilaya ya Ludewa kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2022/2023 imepiga hatua kwa kutokomeza udumavu ndani ya Wilaya ya Ludewa na sasa udumavu umepungua, leo hii watoto wenye Afya njema kwa wilaya nzima ni asilimia 98.011
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.