Chama cha TALGWU Wilaya ya Ludewa kimewapatia zawadi wastaafu ambao ni Bw. William Malima, Bw. Stephen Mtega, Bw Romanus Haule na Bw. Amosi Maneno. Wastaafu hao walikuwa wanachama wa TALGWU. Aidha Mwenyekiti wa Kamati ya Uratibu Wilaya ya Ludewa Bw. Amani Haule, amewashukuru wastaafu hao kwa kukitumikia chama wakati wa Utumishi wao wa umma. Pia amewaasa kuwa mfano mwema katika maisha yao nje ya Utumishi wa umma.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.