Kwa mara ya kwanza, kituo cha Afya Mundindi wameanza upasuaji mkubwa, mgonjwa alikuwa anasumbuliwa na uvimbe mkubwa kwenye mashavu ya mdomo hali iliyopelekea kushindwa kula kwa sasa mgonjwa anaendelea vizuri na mwingine ana uvimbe kwenye kizazi naye anafanyiwa mandalizi ya upasuaji.
Aidha, wateja wengine wakiwemo Wajawazito wameshapangiwa tarehe za upasuaji kulingana na hali zao katika kituo cha Afya Mundindi
huduma za upasuaji zilizokuwa zinatolewa mbali kwasasa zitakuwa zinatolewa katika kituo Cha Afya Mundindi.
#Serikali ya awamu ya sita ipo kazini
#Kaziiendelee
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.