Kuna Namna mbili za kufanya;
Ndani ya Wilaya
Fanya yafuatayo;
1. Nenda Kamuone Mwalimu Mkuu au Mkuu wa Shule anakosoma Mwanafunzi
2.Utafahamishwa kwenda Ofisi za Afisa Elimu wa Wilaya (DEO)
3.Idara ya Elimu itakupa maelekezo zaidi ikiwemo namna ya kuanza kujaza fomu za Uhamisho
Nje ya Wilaya au Mkoa;
Fanya yafuatayo
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.