• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ludewa District Council
Ludewa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Shughuli za Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Samaki
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Huduma za UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Kazi za Mwenyekiti Ofisini
  • Miradi
    • Miradi Iliyo Kwenye Mpango
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Habari Picha

TUZO ZA TEHAMA: IPIGIE KURA HALMASHAURI YETU YA LUDEWA HAPA......

Thursday 26th, May 2022
@Ludewa

Kamisheni ya TEHAMA Nchini (Tanzania ICT Commission) imeanzisha Tuzo mbalimbali za umahiri katika Matumizi au Ugunduzi wa TEHAMA. Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ni moja ya Wawania Tuzo hizi kupitia kundi la Halmashauri Bora katika Matumizi ya TEHAMA (BEST LGA IN USING ICT APPLICATIONS Halmashauri bora inayotumia TEHAMA kutoa huduma kwa jamii). 

Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ni moja ya Halmashauri zilizojikita katika utumiaji wa mifumo ya TEHAMA katika utekelezaji wa majukumu mbalimbali ili kuongeza tija na ufanisi serikalini na hivyo kuongeza huduma kwa wananchi. Aidha, mpaka sasa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa inayo mifumo 28 ikiwemo Mifumo ya Mapato (LGRCIS), mifumo ya matumizi (MUSE, FFARS), mfumo wa Utumishi wa HCMIS, mifumo ya kilimo na mifugo mfano M-Kilimo nk.

Hivyo ni matumaini yetu kwamba tukiipigia kura kwa wingi na kuonyesha msaada na ufanisi wa matumizi haya ya TEHAMA itachaguliwa na kuwa mshindi wa kipengele hiki.Ili kupiga kura bonyeza hapa chini:

BEST LGA IN USING ICT APPLICATIONSHalmashauri bora inayotumia TEHAMA kutoa huduma kwa jamii



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI III NA DEREVA II May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAREHE 11-11-2021 October 27, 2021
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, NA WITO WA USAILI WA ANA KWA ANA KWA WALIOCHAGULIWA November 11, 2021
  • TAADHARI YA UGONJWA WA POLIO LUDEWA March 24, 2022
  • Tazama zote

Habari za Punde

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    May 25, 2022
  • Ludewa tupo tayari

    May 24, 2022
  • Utekelezaji wa miradi kwa mwaka 2022

    May 24, 2022
  • Idadi ya Watu walio omba Ajira ya Sensa Wilaya ya Ludewa

    May 24, 2022
  • Tazama zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Dira na Dhima
  • Utawala na Rasilimali Watu
  • Historia
  • Misingi Mikuu
  • Orodha ya Madiwani
  • Miradi Iliyokamilika

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais IKULU
  • Tovuti Kuu ya Wananchi
  • Wizara ya Afya
  • Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  • TANePS

Wanaotembelea Tovuti

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ludewa - Njombe

    Sanduku la Barua: 19

    Simu: 026-2790120

    Simu ya Rununu:

    Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.