Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Wilaya ya Ludewa, ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ludewa anawatangazia waombaji wa nafasi katika Ajira ya MUDA ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Mwezi Agost, 2022 USIKU WA KUAMKIA TAREHE 23, kwamba Usaili unataraji kufanyika katika tarehe tajwa kwenye tangazo; kufika bila kukosa katika Ofisi za Kata walikoomba kazi, isipokuwa waombaji wa nafasi za Usimamizi wa TEHAMA zoezi litafanyika Wilayani kama TANGAZO LINAVYOSOMEKA. TAFADHARI! TAFADHARI! CHUKUA TAHADHARI YA UTAPELI.JIEPUSHA NA MATAPELI. KWA MAWASILIANAO ZAIDI MPIGIE MRATIBU WA SENSA BW. ALEX HENJEWELE : 0626 771500 NA 0764 128320 AU MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA.
HABARI ZAIDI NA UNDANI WA TANGAZO SOMA HAPA CHINI TAFADHARI!!!
1. TANGAZO FUNGUA HAPA:TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI SENSA 2022 AUGUST 23_compressed.pdf
2. KUTAZAMA MAJINA FUNGUA HAPA:ORODHA YA MAJINA YA WAOMBAJI WA SENSA.pdf
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.