Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kuomba nafasi ya Kazi katika Eneo la umahili katika maeneo yaliyoainishwa katika Tangazo hili hapa TANGAZO LA KAZI LDC.pdf
Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya Elimu, anuani ya barua ielekezwe kwenye Anuani inayosomeka katika Tangazo. Pia Maombi yote yatumwe kwa njia ya dijitali kwenye mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia kivinjari cha https://portal.ajira.go.tz
Maombi ya nje ya utaratibu kupitia mfumo wa Ajira Portal HAYATAZINGATIWA.
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.