TANGAZO LA KUMTAFUTA DALALI WA KUUZA MALI CHAKAVU
1. Halrnashauri ya wilaya ya Ludewa inategernea kuuza rnali zake chakavu
.arnbazo ni rnagari rnanne, pikipiki 6, injini chakavu za boti na boti parnoja na vifaa vinginevyo.
2. Halrnashauri inaalika rnaornbi kwa dalali rnwenye sifa ili aweze kuuza rnali hizo chakavu.
3. Sifa zinazotakiwa kwa rnuornbaji :-
~ Dalali awe na leseni hai ya udalali
~ Dalali awe ni rnlipa kodi na aandike barua yakuonesha kuwa atatoa risiti ya "EFD" wakati wa rnalipo yake.
~ Karnpuni ya udalali iwe irnesajiliwa kisheria .
~ Mwornbaji aeleze uzoefu alionao katika kufanya kazi hii.
4. Mwornbaji anatakiwa kulipa ada ya rnaornbi ya zabuni fedha taslirn Tshs
100,000/= arnbazo hazita rudishwa
5. Mwombaji aeleze utaratibu wa rnalipo yake utakavyokuwa.
6. Maornbi yatapokelewa kuanzia tarehe ya tangazo hili kuanzia saa 01.30 asubuhi hadi saa 09.30 alasiri kwa siku za kazi tu,
rnwisho wa kupokea rnaornbi ni jurnatano tarehe 15/08/2018 saa 04.00 asubuhi.
7. Zabuni zitafunguliwa siku ya jumatano tarehe 15/08/2018 saa 04.30
asubuhi katika ukurnbi wa Halrnashauri ya Ludewa.
8. Wawakilishi wa rnakarnpuni wanaruhusiwa kuhudhuria ufunguzi huo.
9. Maornbi yaturnwe kwa anuani ifuatayo :- Katibu wa Bodi ya Zabuni S.L.P. 19, Ludewa
Kupata undani wa Tangazo la kununua zabuni, Pakua katika kiunganishi cha Zabuni. ZABUNI KUUZA MALI CHAKAVU ZA HALMASHAURI.pdf
Imetolewa na;
Mkurugenzi Mtendaji (W),
S.L.P 19,
LUDEWA
Ludewa - Njombe
Sanduku la Barua: 19
Simu: 026-2790120
Simu ya Rununu:
Barua Pepe: ded@ludewadc.go.tz
Copyright ©2022Ludewadc . All rights reserved.